Naomba
Adawnage
4:43Uh-oh-oh, oh-uh-oh, ye Ye-ei-eh, ei-eh, eey Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi? Marafiki wangu wote wamenikimbia, ah-eh Jehovah Nissi nalia, nihurumie Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi, eh? Maumivu, machungu mingi yamenijaza mie, eh-eh Jehovah Nissi nalia, nihurumie Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Uwezo (Yahweh nipe) uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu, oe Ei, sasa mie nauliza, nianze wapi, eh? Marafiki wangu wote wamenikimbia, ah-eh-eh Jehovah Nissi nalia, nihurumie Nipe uwezo, nipe uwezo, ae Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Oh, oh-oh Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Oh-ah, oh-ah, oh-ah Oh-ah, oh-ah Oh-ah, oh-ah, oh-ah (eh-eh, eey) Oh-ah (oh-oo-ah), oh-ah (oh-ye-eh) Oh-ah, oh-ah, oh-ah (ye-ye-ey) Oh-ah (mh-oh-oh), oh-ah (oh-ye-eh) Oh-ah, oh-ah, oh-ah Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako, eh Eh, wakusimama imara juu ya neno lako, eh Oh, oh bwana Wakusimama imara juu ya neno lako, eh