Mapenzi Run Dunia

Mapenzi Run Dunia

Alikiba

Альбом: Mapenzi Run Dunia
Длительность: 4:35
Год: 2011
Скачать MP3

Текст песни

... Hey ooh ooh mmh mmh (chali)
Hey hey, heey ooh ooh
... Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza
... Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama
Ulonipa mimi leo inaniuma eh
... Fikira zako ziko vibaya
Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa mtima
... Haya ulofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo
cliyokupa niliyaona
... Ukadhani anakusaliti kutoka kwako
Na kuwa mimi naye (mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu
Ukadariki kumuacha ajiue
... Kwa nini why?
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda
Huwa kapenda kweli
... Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia aaah (show real love)
... Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (show real love)
... Feel free to love (wowoow)
Feel free to love (wowoow)
Mmh mmh (wowoow)
... Wajua kuna waliobadilisha dini
Na yote sababu ya kupenda
Na kuna walokimbia hii Dunia
Sababu hiyo hiyo kupenda
... Yule alikupenda sana
Minajua na mambo mengi umefanya ilala
Bestee wangu nilimpenda
Umefanya mpaka sasa kajiua
... Fikira zako ziko vibaya
Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa mtima
... Haya ulofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo
cliyokupa niliyaona
... Ukadhani anakusaliti kutoka kwako
Na kuwa mimi naye (mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu
Ukadariki kumuacha ajiue
... Kwa nini why?
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda
Huwa kapenda kweli
... Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia aah (show real love)
... Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
(Hii dunia hii dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
(Dunia ooh ooh)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia aaah (show real love)
... Feel free to love (wowoow wowoow)
Feel free to love (wowoow wowoow)
Mapenzi yana-run dunia (wowoow wowoow)
... ... Mapenzi yana-run dunia dunia aah aah (dunia)
clly wa real love mapenzi yana-run dunia
Eh eeh eeh (... Run dunia)
... Feel free of love (eeh eh eh)
Feel free to love (eh eh)
Feel free to love (feel feel) (eeh eh eh)
Feel free to love
Feel free to love (feel free to love)
... Feel free to love (wowoow, wowoow)
Feel free to love (wowoow, wowoow)
Feel free to love
... Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
... Feel free to love (Chally)
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love eh
... Eeh eh eh, eh eeh
Eeh eh eh, eh eeh