Tabibu

Tabibu

Angela Chibalonza

Альбом: Best Of Chibalonza
Длительность: 5:14
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu, na neema za daima ni dawa yake njema,
hatufai kuwa hai, wala hatutumai
ila yeye kweli ndiye atupumzishae
imbeni malaika sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka, jina lake Yesu.
dhambi pia na hatia ametuchukulia
twenendeni na amani, hata kwake mbinguni.
uliona damu jina la Yesu kristo bwana, yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa.
imbeni malaika, sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka jina lake Yesu
kila mume asimame, sifa zake zivume, wanawake na wasiiche kusifu jina lake.
imbeni...