Tapo
Angry Panda Clan
3:42Check check Uuuuhhhh Chuu waah Chuu waahh Chuuu aiiii Angry panda under mickey Kunaka kafeeling kanacome sema ngwe nda ka say Toto keki ananibamba na ni wee Niko mavitu naweza shukisha na wee Kama ni eeh sema eeh twendele Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Tuko riko Papa ashalia fanta azishiki Kichwa haifanyi wacha maneno weka muziki Si ndio wabaya izo zingine uwanga kiki Mahater washageuka mashabiki eeehh Unakuja mbio sana ukirudi utakuwa kaguru Mkono ikuwe chini kiuno ikiwa juu Nikishika nita zama ndani ndanii chubulu Unanijua unaniskia ama hauna clueee Tamu kaa skari nguru Mechanika niachie story za mascrew Imebamba sana tuzitoke ju saa tuta duu Zitubebe zikishika anguka pungulu Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Kana turn twist kana turn twist Kanatingika adi na tongue twist Kanaturn east Kanafanya nachomoa beast Nararua sheets Kanafanya nachomoa beast nachafua sheets,aarrggghhh Namacho tu ndo nazifuatata Shawrry akonazigo extralarge hii ni matata Kuna vile akitembea zinaclap like tatata Na imagine akibend aki arch akikatata Kashanicheki kashasema nambamba Ashanikaribia nishakajenga namba Anasema namvutia hapa nishageuka kamba Ashani geuzia ashanikabidhisha shamba Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Kako na matunda nakuja na katululu Bunda iko na flavour utadhani ye ni wa buru Nafanya apige nduru inabaki kanishukuru Stingo ni zile dedli kwanza kakiinama kanadance culuculu Pungulu bum Ati anatoka rwanda namshow me ni kidum Kifo cha mende manze nampulizia motin doom Ndani ya room namfikisha kwa moon Goshodo ni kifaa ye hunipa manufaa Vile inafaa ye pekee ndo ananifaa Tsho ni oversize nakushow imemvaa After kananiambia tumetoka far Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Asha niita dear nika ame fall Pungulu, Pungulu Ako magode me niko mabungulu, mabungulu Ashajileta nishazama chubulu Juu kalinipimanga kafurisha chululu Kunaka kafeeling kanacome sema ng'we nda ka say Toto keki ananibamba na ni wee Niko mavitu naweza shukisha na wee Kaa ni eeh sema eeh twendele