Nime Kubali (Feat. Dayoo)
B2K Mnyama
3:32Mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa sain starbeat boy aaaaaah omala tu ukinisogelea ukinigusa ukinisogelea kwangu naona zawadiii stor za mapenz wakiniletea naona wazushi wana zingua mbona si tuko good hawajui unavyo nipendelea waninyonyesha huku nmekua huu upendo umezidii mbaka unikumbate ndio unaongea ukiwa mbali babe hujazowea au unafanya kusudiii Kuna wao afu kuna sisi kuna we afu kuna mimi tulianza kama utani na sikuiz tuna enjoy lovee mchana kweupe hatujifichi npe nikupe yani mambo fitii tulianza kama utani na skuizi tuna enjoy loveee aaaaah Lala lala laaaaa la lalaaaaaa Lala lala laaaa la lalaaaaa Lala lala laaaaa la lalaaaaaa Lala lala laaaa la lalaaaaa uyeee eeeeeh aaaah aaaah aaa aaaaa Na ikiwa mapenzi sumu basi we ndio utani uwa mwanadamu akitaka niulumu naomba simama kuni tetea wala sio mwilini tuuu mbaka moyoni unanijua uwezo wa mabodigadi sina mi mnyonge ntakulinda na dua eeeh usoni moyoni umejawa na furahaa nina macho ila sioni wakuninyima raha mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa Lala lala laaaaa la lalaaaaaa Lala lala laaaa la lalaaaaa Lala lala laaaaa la lalaaaaaa Lala lala laaaa la lalaaaaa