Washa

Washa

Barnaba

Альбом: Washa
Длительность: 3:43
Год: 2019
Скачать MP3

Текст песни

Yaga
Don't be selfish baby
(Aha yaga)
Naah...
This is Barnaba boy classic
Abbah!
Nilie nae hana kasoro
Ya nini nipashe viporo
Uliniacha totoro
Bila ya godoro

Mpenzi kiberiti (washa)
Siwezi kusaliti (washa)
Yeye sabuni mie jiki (washa)
Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)

Maji mwenzake kopo oh
Tucheze kidalipo oh
Huko ulipo oh
Salamu zikufikie

Yameandikwa maandiko
Usiibe mboga usilambe mwiko oh
Kurudi kwako ni ndoto ah
Sitaki yajirudie

Nile naye kwa siku mara tatu
Kama mgonjwa wa homa
Nikiumwa na pona
Dozi nzuri yaani ile kuona

Penzi ukalivika ngozi ya chatu
Vya kupika ulichoma
Penzi ukaliunguza
Unataka kurudi hapana
Maana

Nile nae hana kasoro
Ya nini nipashe viporo
Uliniacha totoro
Bila ya godoro

Mpenzi kiberiti (washa)
Siwezi kumsaliti (washa)
Ye sabuni mie jiki
Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)

Mpenzi kiberiti (washa)
Siwezi kumsaliti (washa)
Yeye sabuni mie jiki (washa)
Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)

Nah nah nah...
Nah nah nah nah...
Hmmmmmh...
Nah nah nah...
Ukiachwa achika
Ukimwagwa mwagika
Ukitemwa temeka
Penzi bovu yanini kung'ang'ania

Roho unaisononesha
Moyo unaukondesha aah
Wakati hujapendeka
Wako wengi wanaokutamani

Kaaga kaenda kwa mama (mdogo)
Waja kumfumaga bar (majogoo)
Ya nini kujisononesha
Mtoto mdogo wajipaga pressure bure
Nile naye kwa siku mara tatu
Kama mgonjwa wa homaa

Nikiumwa na pona
Dozi nzuri yaani ile kuona
Penzi ukalivika ngozi ya chatu

Vya kupika ulichoma
Penzi ukaliunguza
Unataka kurudi hapana
Maana

Nile nae hana kasoro
Ya nini nipashe viporo
Uliniacha totoro
Bila ya godoro

Mpenzi kiberiti (washa)
Siwezi kumsaliti (washa)
Ye sabuni mie jiki
Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)

Mpenzi kiberiti (washa)
Siwezi kumsaliti (washa)
Yeye sabuni mie jiki (washa)
Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)