Nichunguze Moyo
Christopher Mwahangila
7:00Yesu Yupo hapa Yesu Yupo hapa Yesu Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona baba Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh naziona nguvu zake Yupo hapa Oh na uona mkono wake Yupo hapa Oh Nauona Muujiza Yupo hapa Ni na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh nasikia nguvu zake mungu Oh nasikia uwepo wake hapa Oh na muona yesu yupo hapa Oh na muona yesu yupo hapa Oh nasikia manukato ya mungu Oh nasikia nguvu zake baba Oh na muona yesu yupo hapa Oh na muona yesu yupo hapa Fungua moyo wako akuhudumiye Fungua moyo wako akuguse Uuu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa Fungua moyo wako akuhudumiye Fungua moyo wako akuguse Uuu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona baba Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh naziona nguvu zake Yupo hapa Oh na uona mkono wake Yupo hapa Oh Nauona Muujiza Yupo hapa Ni na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Wewe unaye pata taabu wewe Wewe unaye sumbuka sana wewe, Leta shida zako, maana leo yesu yupo hapa. Wewe unaye kwenda kwa waganga wewe, Unaye angaika kutafuta miujiza wewe, Yesu mutenda miujiza yupo, ni napo imba sasa yupo hapa . Mtafute sana yesu, kuliko kutafuta miujiza, Maana yesu ndiye mutenda miujiza penda sana Kumutafuta yesu Mtafute sana yesu, kuliko kutafuta miujiza, yesu ndiye mutenda miujiza usihangaike kwa wana damu. Yupo hapa Yesu Yupo hapa Yesu Yupo hapa Yesu Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona baba Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa Oh na muona yesu Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Oh na muona Yesu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Mungu Yupo hapa Oh na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa Yupo hapa Oh naziona nguvu zake Yupo hapa Oh na uona mkono wake Yupo hapa Oh Nauona Muujiza Yupo hapa Ni na muona Baba Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa