Ngoma Ya Kwetu

Ngoma Ya Kwetu

Gatho Beevans

Длительность: 5:26
Год: 1986
Скачать MP3

Текст песни

Ngoma ya kwetu mangaribi ya leo

Mangaribi ya leo sisi wote tu kundini tunaenda kuchezaa wakubwa wadogo pamoja tunaweka moto katiyetu tutacheza mpaka keshoo, wazee walisemagaa kama ukingali na menoo vunja mifupaa kama uko na nguvu ya kucheza michezoo cheza yako yotee

ti-kisa mikono na miguu
kisha mwili yako totee(kisha mili yako yoteeee)ohoo

Ngoma ya kwetu (ngomaa)
michezo ya kwetu (michezoo)
nyimo ya kwetuu tuya cheza ngoma ya kwetuu

saabu magumu ya dunia leo siku ya furaha twende kuchezaa
tunaita kabila yote tunatuma baifadhi yotee wageni wa kuye kwetuu wasogope takidogo haipo ngoma ya kimio tunafurahi dunianii wanawake wote waimbe wanaume wapige kinanda leo ndo leooo

ti-kisa mikono na miguu
kisha mwili yako yotee(kisha mili yako yoteeee)ohoo

Ngoma ya kwetu (ngomaa)
michezo ya kwetu (michezoo)
nyimo ya kwetuu tuya cheza ngoma ya kwetuu

ngoma ya kwetu magharibi ya leo
michezo ya kwetu mangaribi ya leo
sikia mingoma ya kwetuu hahahaaa

weye mupenzi sikiliza sauti
sikiliza (yanguuhuu)
nitakungoja magharibi ya leo
magharibi (kumu cheeezo)
weye mupenzi ninalewa mapendo
ninalewaa (yakoohoo)
tutakutana magharibi ya leo
magharibi (kumucheezo)

ti-kisa mikono na miguu
kisha mwili yako totee(kisha mili yako yoteeee)ohoo

Ngoma ya kwetu (ngomaa)
michezo ya kwetu (michezoo)
nyimo ya kwetuu tuya cheza ngoma ya kwetuu

ngoma yakwetu (woooo)
michezo ya kwetu (sisi wote tuna furahaa)
nyimbo yakwetu (tutacheza magharibi ya leo)
tuya cheza ngoma ya kwetuu
ngoma ya kwetuu (weye mpenz wanguu)
michezo ya kwetu (tuya cheza ngoma)
nyimbo ya kwetuu (takongo ya leo kungoma ya kwetu

Ngoma ya kwetu (ngomaa)
michezo ya kwetu (michezoo)
nyimo ya kwetuu tuya cheza ngoma ya kwetuu