Tunategemeana

Tunategemeana

Godfrey Steven

Альбом: Tunategemeana
Длительность: 4:00
Год: 2022
Скачать MP3

Текст песни

Tunategemeana - Godfrey Steven

wale wa ng'ambo wanauliza mmewezaje?
wale wa ng'ambo wanajubu mnashindwaje?
wale wa ng'ambo wanauliza mmevukaje
na ng'ambo inajibu mnashindwaje?
mlichonacho hatuna tulichonacho Hamna eee
Basi tubadilishane tunufaike sotee
ulinalo gumu kwako kwa mwingine rahisi
unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
sababubu kamwe mapito yanatofautiana
tutiane moyo sote safari ni mojaa
sababuuuuu

tegemeana
tunategemeana
(tunategemeana)

tegemeana
tu watu wa baba mmoja
wa baba mmojaaa
soooteee
tegemeana
tunategemeana

ili Giza litoweke lahitaji mwanga ujue
Tena hakuna mrefu pasipo na mfupi
ukiona Daraja limejengeka ujue palionekana bonde kabla
ooooh
unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
sababubu kamwe mapito yanatofautiana
tutiane moyo sote safari ni mojaa
sababuuuuu

tegemeana
tunategemeana
(tunategemeana)
tegemeana
tu watu wa baba mmoja
wa baba mmojaaa
soooteee