Ipo Siku

Ipo Siku

Goodluck Gozbert

Альбом: Ipo Siku
Длительность: 5:48
Год: 2017
Скачать MP3

Текст песни

Nimbalii nimetoka
Tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga
Nimengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu
Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo (mmh)

Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Ahh, oh hu hu naona

Mmh
Ayaya
Ayaya
Ayaya

Mhh mh

Ingawa kwasasa wananisema vibaya, nami sishangai najua niya-wanadamu hayoo
Ingawa sipati na nikwa muda murefu, siachi kuomba mungu si kiziwi
Ah binadamu wema ukiwanacho, kwasasa waniepuka sina rafiki wa dhati

Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo (mmh)

Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)

Miaka imepita unaombaga mtoto hupati, vuta subira maana yeye hachelewi
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati, usimwache mungu waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna, msimwache Mungu michepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona hakuna, usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia heyy
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Ipooo
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Ipooo

Misukosuko ya ndoa (ipo)
Mtoto anakusumbua (siku)
Giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibarikiwe)
Masimango mashemeji (yangu tu)
Ati huzai mtoto (siku)
Masimango mama wa kambo, umemchosha nyumbani
Usiwaze husiumie, najua yote yatapita
Siku imekaribia, najua yote yatapita

Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)

Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)