Inanimaliza (Feat. Mr Blue)
Harmonize
3:50Yao yao Black prince on the beat Yeah yea, yeah yea Yeah yea, yeah yea Only you in my mind Nahisi mwingine hakuna Kwenye hii dunia I don't know what you do Never mind Hata salamu unauchuna Vimeseji nikikutumia Ingawa silijui kosa Ila fanya unisamehe Umeniadhibu vya kutosha Japo imani nionee Oooh babe nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita Ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita Ipo siku nitaitika my babe I miss you I miss you Ukiona mtu mzima ma Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma (aah aah aah) Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you) Nilisacrifice my love for you (oh oh oh) Leo unaniona sifai na matusi juu (oh oh oh) Natamani urudi mama Ila siwezi kukufosi fosi Punguza makusi drama Hizo mbwembwe na viposti posti Kutwa nashinda Insta Nazitazama zako picha Usiombe bando likiisha Mi mpweke ila yote tisa Oooh nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita Ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita Ipo siku nitaitika my babe I miss you I miss you Ukiona mtu mzima ma Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma (ah ah ah) Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you) Nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita mpenzi Ipo siku utaitika Nikilala naota (nikilala naota) Naota kama unaniita (naota kama unaniita) Ila nafsi inasita mpenzi (ila nafsi inasii) Ipo siku utaitika