Wale Watu (Remix)
Khadja Nin
3:59Dunia ile sambolera Oh! Wanayijifondeya Dunia yetu sambolera Mbona wazimu... Mayi Watu wa dunia sambolera Oh! Wanajisondeka Sio wa Mungu sambolera Oh! Ni watu... Mayi Watu wabaya sambolera Oh! Hawana huruma Wanasema jisema sambolera Dunia ni yao... Mayi Mungu akipenda sambolera Oh! Watakukumbuka Wakupe njia sambolera Oh! Ujaribu Mbele ya Mungu sambolera Oh! Watajibu aje? Watasema juu ya rangi au ya Mungu Wameua corazon Oh! Gere ya mungu gani? Oh! Gere ya rangi gani? Oh! Gere rangi ya damu Rangi ya damu Rangi ni moja Damu ni mingi sambolera Oh! Wanatesa watu Juu mtu moja sambolera Oh! Akitaka... Mayi Ni vita... Son Wacha waseme sambolera Oh! Maisha yako mbele Watasema waseme sambolera Alakini corazon Usitubiye Ngoyela... Son Mayele Ooh! Ooh! Ooh Iyeeh! Iyeeh! Iyeeh Ule wazimu usi wuogope... Son