Neema
Mlimani Park Orchestra
6:56Nimeishi na wazazi wangu nikiwa bado mwanafunzi Sikuwahi kuishi pekee yangu bila kuwa na wazazi wangu Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi Wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi Wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi Wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi Wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu Yakuwa niwe na heshima kwa mkubwa na mdogo Hayo ndio mafanikio ya maisha yangu ya badae (mm) Yakuwa niwe na heshima kwa mkubwa na mdogo Hayo ndio mafanikio ya maisha yangu ya badae Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote Ushauri wao umeniletea mafanikio mema Sasa naishi na watu vizuri, eh Sasa naishi na watu vizuri, eh-eh Huku niliko wazazi wangu sina ndugu Lakini kutokana na husia wenu wazazi wangu Najiona kama niko nyumbani, eh Najiona kama niko nyumbani, eh, mama Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote Ushauri wao umeniletea mafanikio mema Sasa naishi na watu vizuri, eh Sasa naishi na watu vizuri, eh-eh Huku niliko wazazi wangu sina ndugu Lakini kutokana na husia wenu wazazi wangu Najiona kama niko nyumbani, eh Najiona kama niko nyumbani, eh, mama Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote (wakati wowote) Ushauri wao umeniletea mafanikio mema (mafanikio mema) Sasa naishi na watu vizuri, eh (oh, mama, oh) Sasa naishi na watu vizuri, eh-eh