Moyo Wangu
Msanii Music Group
5:02Maisha changamoto siku za leo uchumi kuharibika ni dhahiri sana Kukosa hela Unatamani kukata tamaa Unatamani kushikwa mkono Ila ukivumilia (vumilia wewe) Utashinda Ushindi hupatikana Kwa walio wavumilivu na imani Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Ila hela na mali nyingi sio changamoto kwa watu wengine Wapi wanaosongwa na mawazo wakosapo haja za nyoyo zao Ukiamka chini ya paa na uwe na chakula mezani Shukuru mungu wako Muabudu msujudu Karibisha na jirani Umuoneshe upendo Shukuru mungu wako Muabudu msujudu Karibisha na jirani Umuoneshe upendo Upendo huo utafanya watu wote tubadilishe wimbo Na leo tube sote….. Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu … Mungu yu Mwema kwetu Waonekana kwetu …