Mtuliza Bahari
Msanii Music Group
4:12Wakati nitajikuta Mbinguni kwa Baba Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha Haleluya nitasifu kufika Mbinguni Hosana, nitaingia kwa shangwe Wakati nitajikuta Mbinguni kwa Baba Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha Haleluya nitasifu kufika Mbinguni Hosana, nitaingia kwa shangwe Nitaingia lango Lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya Nitafurahi kufika Mbinguni Nitaingia lango Lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya Nitafurahi kufika Mbinguni Nchi nzuri, nchi safi ni kwa Baba yangu Kuna amani, kuna furaha, huko ni kusifu Tutakaa na Mungu wetu nchi ya amani Hosana, nitaingia kwa shangwe Nchi nzuri, nchi safi ni kwa Baba yangu Kuna amani, kuna furaha, huko ni kusifu Tutakaa na Mungu wetu nchi ya amani Hosana, nitaingia kwa shangwe Nitaingia lango Lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya Nitafurahi kufika Mbinguni Nitaingia lango Lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya Nitafurahi kufika Mbinguni Nitaingia lango Lake na sifa moyoni (sifa moyoni mwangu) Nitaingia kwa shangwe kuu (nitasema ni siku njema) Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya (Bwana ameifanya) Nitafurahi kufika Mbinguni (nitaingia) Nitaingia lango Lake na sifa moyoni (lango Lake, Bwana wangu) Nitaingia kwa shangwe kuu (nitasema) Nitasema ni siku njema (Bwana ame) Bwana ameifanya (Bwana aimeifanya) Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia) Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia) Nitafurahi kufika Mbinguni (mm, nitafurahia) Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia)