Kitenge
Nviiri The Storyteller
3:19Oh oh, pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'ana Lakini hawa wasichana Vile nawapenda Ni kama laana Oh, Sol Generation And that's how we tell aah Oh Lord Naskia walevi huota na beer Lakini kuna siri nitawaibia leo See I'm not addicted to alcohol I'm not a victim not at all Yalimpata Samson Yakampata Solomon Situation hugeuka tricky Kila shimo napanda miti Contribution kwa team mafisi Karura Eeey, situation hugeuka tricky Kwa hivyoo Msiniweke kamba kwa shingoo Pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'ana Lakini hawa wasichana Vile nawapenda aah Ni kama laana ah Somebody is cool and not fine Tell them that's how we tell a heart's gone down Eti alivunja shingo akalemewa Akatoa fimbo nje ya ndoa Na hivo ndivo alijichomea Eeey situation imekuwa tricky Kuna shimo alipanda miti Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela Heey, situation hugeuka tricky Kwa hivyoo Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara ah Naweza wacha bila kung'ang'ana ah Lakini hawa wasichana Vile nawapenda Ni kama laana ah Oh yeah, yeah Pombe sigara ah Naweza wacha bila kung'ang'ana ah Lakini hawa wasichana (maze) Vile nawapenda Ni kama laana ah Oh yeah yeah...yeah