Taya
Okello Max
4:00Kung Fu ft Bien & Bensoul Intro caaah Mutoto ya Pamela Okello Max's Verse Naskia kelele kwa jirani Kwani ni vita cma hii ni raha gani Mwengine anasema aaah Mwengine anasema uuuh Kwani mapenzi Imegeuzwa kuwa kungfu Na vile kwangu kunabore Naskiza mafranco Hii ploti itanifanya niwe whore Pre-hook cction night Watoto walale by 9 Nikudunge vaccine Leo movie ni ya shaolin Hook Vita vya kikungfu kungfu Dj cfro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Okello Mano kungfu kungfu Bien Mena kungfu kungfu Bien's Verse Woi woi mama Woi Woi mama Unazunguka kama nyoka, cnaconda Woi Woi mama Woi Woi mama Unateleza kama mrenda, Haki nimependa Kiss it better vile napenda Mix ya broiler na kienyeji vibes Hebu geuza oh Cheriè samaki hailiwi pande moja cction time Pre hook cction night Ufike kwangu by 9 Nimetema taxin cmenyoa shaolin Hook Vita vya kikungfu kungfu Dj cfro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Okello Mano kungfu kungfu Sudah Mano kungfu kungfu Bensoul's Verse Cheriè nipeleke Thailand Na mimi nikupeleke Bangkok, yeah Tuishi juu ya island Tuishi maisha ya kibailando, yeah Kuja tufanye mambo mambo Nikukunje nikufunze angle angle Movie na soundtrack ya Bango bango cction unapewa ni ya Rambo Pre hook cction night Ufike kwangu by 9 Nimetema tocsin cmenyoa shaolin Hook Vita vya kikungfu kungfu Dj cfro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Outro Sudah mano kungfu kungfu Bien Mena kungfu kungfu Okello Mano kungfu kungfu