Neema Ya Goligotha

Neema Ya Goligotha

Papi Clever & Dorcas

Альбом: Ninakumbuka Sayuni
Длительность: 5:50
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

Nilipofika Golgotha
Nikaiona huko
Neema kubwa kama mto
Neema ya hajabu

Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha
Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha

Nilipofika moyo wangu
Ulilemewa sana
Sikufaamu bado vema
Neema yake kubwa

Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha
Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha

Nilipoona kwamba Yesu
Alichukua dhambi
Neema ikadhihirika
Na moyo ukapona (oh)

Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha
Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha

Mbinguni nitakapofika
Furaha itakuwa
Kuimba juu ya neema
Milele na milele

Mbinguni nitakapofika
Furaha itakuwa
Kuimba juu ya neema
Milele na milele (oh)

Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha (ah-ih-oh, neema)
Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha (oh)

Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha
Neema tele na ya milele, neema ya kutosha