Nijifiche Wapi

Nijifiche Wapi

Reuben Kigame

Альбом: Usifadhaike
Длительность: 3:18
Год: 2016
Скачать MP3

Текст песни

Nijifiche wapi? Jicho lako laniona
Niende wapi, kuepuka roho wako?
Usiku kwako ni kama mchana
Ata giza haliwezi kunificha, ah-ah

Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu
Nijaribu uyajuwe mawazo yangu yote
Baba, aah
Baba, aah

Nijifiche wapi? Nilalapo uko nami
Nitawaza nini? Wafahamu kila kitu
Maharifa yako, kweli, ni ajabu
Ulinijuwa kabla kuzaliwa, ah, eh

Eh, Mungu nichunguze (yeah) ujue moyo wangu
Nijaribu uyajue mawazo yangu yote
Baba, aah (hm-hm)
Baba (Baba) aah (oh)

Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu
Nijaribu uyajue mawazo yangu yote
Baba, aah
Baba, aah