Nitatangaza Neno Lake Bwana (Feat. Sifa Voices)
Reuben Kigame
6:17Basi sifa zake simba wa Yuda zianze kwani zitapakae ulimwenguni kwote Simba wa Yuda sikia akinguruma Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, aah... Simba wa Yuda namsikia akinguruma Kule kuzimu, eh Tembeo lake kule latetemesha Tembeo lake kule latetemesha, aah Shetani oh kule atetemeka (sema) Mapepo oh kule yanatoroka Shetani oh kule atetemeka (ameogopa) Mapepo oh kule yanatoroka Amewapiga pigo la milele Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma ah-aah... Watoto wa pwani mpo? Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, aah... Simba wa Yuda namsikia akinguruma kule kuzimu, eh Tembeo lake kule latetemesha Tembeo lake kule latetemesha Shetani oh kule atetemeka Mapepo oh kule yanatoroka Shetani oh kule atatameka Mapepo oh kule yanatoroka Amewapiga pigo la milele Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma hah, hah Simba nguruma ah-aah... Sisi tunakiri simba wa Yuda Yuko hai (yuko hai) Oh, oh (yuko hai) Yuko hai Tena kifo hakimuwezi Amefufuka (hakimuwezi) Oh, oh (ameshinda kifo) Amefufuka Tena yeye atawala, oh, oh Atawala, milele na milele Oh, oh (forever) Atawala Tena anarudi Anarudi (kutunyakua, eh) Oh, oh (kutuchukuwa) Anarudi Huyu simba wa Yuda Yuko hai (yuko hai) Oh, oh (siku zote) Yuko hai Tena kifo hakimuwezi we Amefufuka (yuko hai) Oh, oh (anaishi) Amefufuka Na tena ana mamlaka yote Atawala (juu ya nguvu za giza) Oh, oh (hey) Atawala Nafurahi anarudi Anarudi (kutuchukuwa) Oh, oh (kutunyakuwa) Anarudi (woo!) Sisi tunakiri simba wa Yuda Yuko hai (yuko hai) Oh, oh (yuko hai) Yuko hai Mauti hayamuwezi Amefufuka (hey) Oh, oh (hayamuwezi) Amefufuka Amepiga shetani pigo la milele Atawala (anatawala) Oh, oh Atawala Ninafurahi anarudi kuchukuwa kanisa Anarudi (hey, hey) Oh, oh Anarudi (woo!)