Peke Yangu (On My Own)

Peke Yangu (On My Own)

Soul Influence

Альбом: Gigo!
Длительность: 2:24
Год: 2012
Скачать MP3

Текст песни

Peke yangu sitaa weza
safari ndefu ya shida
peke yangu sita weza
kufika yerusalemu

Peke yangu sitaa weza
safari ndefu ya shida
peke yangu sita weza
kufika yerusalemu

Peke yangu sitaa weza
safari ndefu ya shida
peke yangu sita weza
kufika yerusalemu

Nipe nguvu zakushanga
majaribu ya dunia
safari njema na bwana
naodha wa roho yangu

Nipe nguvu zakushanga
majaribu ya dunia
safari njema na bwana
naodha wa roho yangu

watu wengi wana bwana
wameshaaga dunia
vifo vimewachukua
kulala makaburini

watu wengi wana bwana
wameshaaga dunia
vifo vimewachukua
kulala makaburini

Nipe nguvu zakushanga
majaribu ya dunia
safari njema na bwana
naodha wa roho yangu

Nipe nguvu zakushanga
majaribu ya dunia
safari njema na bwana
naodha wa roho yangu

Nipe nguvu zakushanga
majaribu ya dunia
safari njema na bwana
naodha wa roho yangu

ona ninaombaaaaaa
yesu ninaombaaa
ona ninaombaaaa
mungu ninaombaaa
yesu ninaombaa
mungu ninaombaaa

(roho yangu)