Backbencher
Toxic Lyrikali
2:54Stoner hakosi na ako juu ya dimanga Shika morio kuna vile tutakatsiana Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga Nikona yangu naona tukikatiana Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Sikua na thiang' nikaingia chinje Packe nikiwa mabob iezi kafanya ni change Wanted never me najua kuishi na wasee Sanse nampace utadhani ni Senke Denge chinja chinja maliza ulele Sembe finya finya ndio ni squeeze mwere Tenje screen clear lazima itoshe Mwere siezi achana na ye aende Niko sober naskiaa lakini si poa Ntaskia poa nikianza kukohoa Inakubalika wakituona wanajiondoa Tu doom cheki nguo ungekua ushaanza kutoa Si ni mabuda kwa biz ka barber tunawanyoa Luku diriba tisho ya madoa doa Ni mpoa akinikiss ndio na poa Ka nimejam chali yake alinithigitha meno ndio namng'oa Rive imepasuka cheki na overflow Ka ni videvu narusha ka Tyso Mali ni chwani lakini kata hii soo Si ndio wale tulichora makwela kwa blackboard Siezi medi baze na kuna morio acidi We ni fala umejipimp bado we ni pimbi Nikona mbling tatu moja ndio ikona risiti Cheki chuom ingia chuom karibu ofisi Stoner hakosi na ako juu ya dimanga Shika morio kuna vile tutakatsiana Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga Nikona yangu naona tukikatiana Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Short call serious biz long call hua ni mafi Pita mandazi mandazi upate chai No smile na medi na mtiaji sometimes Siezi fry na bado sija kufry my guy step mos mos Mos mos boss unaeza kosa koo Unaeza kosa kuona kesho Niki F kinachoke bila filtration Kesho ile thiang' inaingia soko Imerust akuna kushonwa ni tetanus Bei ni mwero lakini asset ni second hand Mabunde tumejibebea mapepeta Staki ngori mob siezi force mambo ka zi run Stoner hakosi na ako juu ya dimanga Shika morio kuna vile tutakatsiana Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga Nikona yangu naona tukikatiana Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Stoner hakosi na ako juu ya dimanga Shika morio kuna vile tutakatsiana Ni headbad nilimkataa akanipoint na panga Tazamaji cheki tunakatiana Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float Staki ngori mob staki hoe staki ka si raw Sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float