Success (Feat. Jux)

Success (Feat. Jux)

Walter Chilambo

Альбом: I'M Blessed
Длительность: 3:42
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

Kuna muda machozi hayaniishi
Huzuni haikatiki hata Napo jaribu kutembea naona sifiki
Maumivu na changamoto hazikwepeki
Imani yangu najua wakati wangu upo
Kama walipata wengine nami nitapata pengine,sikati Tamaa napambanaaa
Acha Leo wanicheke nikitafuta sipati
Na hata Mimi nichelewe hapa sitabaki
(Aah eeh) I need success in my life
Mungu anibless in my life mmmh more
blessings in my life viwango vingine
I need success in my life
Baba unibless in my life more blessings
testimony lazima nifanikiwe
Eeh eeh aah eeeh aah lazima nifanikiwe