Rhumba
Wanavokali
3:44Mbona Do you have to be this way Unajitoa From all the promises we made You Wanna blow up All the loving that we gave Listening to the he said and the she said Uwongo za mjini zimenoga Niamini nakupenda ni wewe tu Wakusema watasema, usiku watalala Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda Amini hata dunia itashindwa na cha kusema Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema Baby achana nao Uohhuu uohhuu uohhuu Usiwaskize hao Uohhuu uohhuu uohhuu Baby achana nao Uohhuu uohhuu uohhuu Usiwaskize hao Uohhuu uohhuu uuuuu The city's full of haters, full of players Wakutupiga asunder oh they wanna break us Usiwaskize hao, oh baby achana nao Cause when we say ni forever, ni vow tunaweka, mimi na wewe tu Let us go down in history, baby Niamini nakupenda ni wewe tu Wakusema watasema, usiku watalala Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda Amini hata dunia itashindwa na cha kusema Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema Baby achana nao Uohhuu uohhuu uohhuu Usiwaskize hao Uohhuu uohhuu uohhuu Baby achana nao Uohhuu uohhuu uohhuu Usiwaskize hao Uohhuu uohhuu uuuuu City boys they wanna break your heart City girls they just wanna have fun Love you then leave you Wakuwache na maswali bila jibu City boys they wanna break your heart City girls they just wanna have fun Love you then leave you Wakuwache na maswali bila jibu City boys they wanna break your heart City girls they just wanna have fun Love you then leave you Wakuwache na maswali bila jibu City boys they wanna break your heart City girls they just wanna have fun Love you then leave you Wakuwache na maswali bila jibu