Relax

Relax

Christina Shusho

Альбом: Relax
Длительность: 4:12
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Heh! Yeah-yeah
Kurelax kurelax weh!

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Nani apinge, alichosema Mungu
Nani alaani, alichobariki Mungu
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu

Na kama kuna pando, 'lopandwa na mwovu (Nangoa)
Pando la muovu (mi' nangoa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (mi')

Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu (Nangoa)
Pando la muovu (mi' nangoa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (Mi)

Imeandikwa nitakuwa kichwa siyo mkia
Wakwanza si wa mwisho

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Mi na relax, na relax ooh
Na relax, na relax, na relax
Mi na relax, na relax ooh
Mwenyewe amesema

Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanipa utajiri wake
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanalisha kama ndege angani

Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanipamba kama ua kondeni
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Yesu akisema atafanya

Mi na relax (na relax) na relax ooh
Neno lake ni amina na kweli
Mi na relax (na relax) na relax ooh

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Atanipa mahitaji yangu (Yesu mwenyewe amesema)
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Nangoja Juu mi'
Na relax, na relax ooh
Nangoja juu mi' na relax, na relax ooh
Mimi na relax, na relax ooh

Mimi na relax, na relax ooh
Eeeh! Ooh! mimi na relax narelax ooh
Mimi na relax, na relax ooh
Yesu eh, Mimi na relax, na relax ooh
Mimi na relax, na relax ooh