Kimya
Guardian Angel
3:40Mi sijuti, mi sijuti kupata wokovu ningali kijana aeeh nimepata amani iliyo ya kweli amani ambayo sikupata kwingine Mungu nae jivunia si Mungu niliye sikia ni Mungu ambaye nimeona akitenda kwake napata raha kila kitu nafanyiwa sioni hasara Mungu ananipenda kwake napata raha kila kitu nafanyiwa sioni hasara Mungu ananipenda Nimependa penda nimependa nimependa unavyonitemnbeza kuna changamoto hutokea katika safari ya wokovu ila mapito yako yanatendeka kwa wema. piga simu pigia rafiki zako simu wote leo uwaambie una shida sana unaitaji saupport ukimaliza pigia na Mungu wako Goti kisha nae umwambie una shida sana unaitaji support hapo ndipo utaona nani anaekujalia atakae kusaidia aeeh kwa Mungu wangu na pata raha kila kitu nafanyiwa nina imani kweamba Mungu ananipenda kwa Mungu wangu napata raha kila kitu nafanyiwa nina imani kwamba Mungu ananipenda nimepoenda penda nimependa nimependa Unavyonitembeza nimependa penda nimependa nimependa unavyonitembeza maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako ungali kijana bado una nguvu maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako ungali kijana bado unanguvu usijidanganye ati bado ungali kijana unavunja mifupa mifupa kuokoka ni uzeeni kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa aaaeeh maisha ni mafupi sana Muishie Mungu kwanza kufuka uzeeni siku hizi ni majaliwa maisha ni mafupi sana muishe Mungu nimependa mimi nimependa penda nimependa nimependa unavyo nitembeza