Ipo Siku
Goodluck Gozbert
5:48Hey! Ninakushukuru Mungu Sababu Ya Mengi Hata Uhai Huu Sikustahili, Ninakushukuru Mungu Tena, Sababu Ya Vingi, Hata Nikiwa Nasali Unajua Naamanisha, Sio Kama Eti, nilitenda Wema, Wa Kuja Linganisha Na Matendo Yako Makuu Mimi Mungu Ningekulipa Nini, Ulikonitoa Ni Siri ya Moyo Wangu Matopeni Topeni, Ukaniketisha Na Wakuu Juu, Umenipa Heshima Ukanifuta Machozi Asante Ooh Baba Hata Shukurani Zangu (ni Kwako) Shukurani Zangu (ni Kwako) Na shukurani zangu (ni kwako) Shukurani zangu (ni kwako) Asante baba (ayaya) Ayaya Ayaya Ayaya Ayaya Aibu Umefuta Fedheha Umefuta Umenipa Amani Iliyo Ya Kweli Nakumbuka Nalia Mimi Ndo Yule Ambaye Nilitukanwa Na Kwa Dharau Wakasema Kwisha Habari Yake Kuna Kipindi Nilikufa Nikawa Mifupa Inayotembea Ikiwa Kwa Siku Za Usoni Walisema Tunazika Kesho, Ila Kwa Huruma Uliniponya Na Kaburi Kwa Huruma Sitosahau Wema Wako We Baba (ni Kwako) Shukurani Zangu (ni Kwako) Na shukurani zangu (ni kwako) Shukurani zangu (ni kwako) Asante baba (ayaya) Asante Ayaya Asante!(yelelele) yelelele yelelele Kama Kusoma Tulisoma Wengi Umeruhusu Niwe Na Kazi Nzuri (asanti baba) Ajali Tulipata Wengi Umeruhusu Nibaki Na Uzima Ndoa Zilifungwa Nyingi Umeruhusu Tubaki Na Amani Furaha Wanakosa Wengi Umeruhusu tabasamu kwangu Na shukurani (yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele (yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele(yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele(yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele(yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele(yelelele) Yelele Mama Yelele Mama Yelele Mama yelele(yelelele)