Funga Mdomo

Funga Mdomo

Guardian Angel

Альбом: Funga Mdomo
Длительность: 2:30
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Kuna vitu vingine kwa maisha yako ni vya kunyamaza
Siri zako za ndani na mambo yako si ya
Kutangaza
Nakuona unavyofunguka kwa beshte zako
Itakuumiza
Ukigundua wale unaoamini ndo wanaeneza

Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo fwaaa
Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo fyaaa
Mkipatana pararapapa
Unaroopokwa kila kitu

Pararapapa ndio maana una ngangana
Ngangana vitu zimekwama ata
Ukikazana kazana
Mkipatana pararapapa unaropokwa
Kila kitu pararapapa ndio maana
Una ngangana ngangana ooooh
Kazan kazana Eeh bwana

Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo fyaaa
Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo Fyaaa
Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo fyaa

Nilimuomba Mungu aondoe Audi  zangu
Akaondoa rafiki zangu
Mi sikujua nilodhani rafiki zangu
Kumbe ndio Audui zangu
Walichukizwa na mafanikio yangu
Wakafuraishwa na matatizo yangu
Na wakayatangaza madhaifu yangu
Niliowaamani ni Wandani wangu
Sasa nafunga Mdomo
Fuuu fyata Mdomo
Fyaaaa

Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo  fyaaa
Funga Mdomo fuuu
Fyata Mdomo fyaaa