Anaku Rada (Feat. Mzagatas Mzagla & Pilato Macheda)
Joefes
3:16Top shota by Joefes Mabarbie na chargie Bad gyalis Pedi na mamalis Summer bunnies Niko na sukari sugar mummies Wako na maziwa chai ya fahari Check mbota clean forsa Bling shingo toja bit shorter Mbosho mali safi niliosha Top shota top shota Jay zangu ni ka za okocha Kutoka tao hadi ocha Top shota top shota Tunazikata na shoka Collabo Nare cheki venye nalipuka Tuko na man a joe sai kumeharibika Adi teacher banger zinawatisha Nachunisha madoba zinararua speaker Aah top Shotah kijana aliomoka Your girl ananiround juu niko na big nyoka Stick proper napiga hakuna kuchoka Anaku za kucuff nikitap nakutoka Wanauliza nilitoa wapi huddah Juu mi hukua mbad nilicheza tu na lugha Anakukudim ka unazoza na mabuda Tuko juu ya steam tunakata hadi aluta Check mbota clean forsa Bling shingo toja bit shorter Mbosho mali safi niliosha Top shota top shota Jay zangu ni ka za okocha Kutoka tao hadi ocha Top shota top shota Tunazikata na shoka Leo nikona rende chude zetu bado genje Tulinoa wembe tutakatika watete Mimi bila ngwete nkama Chanda bila Pete Sete, Simama Alafu siuipepete Top shota mngojwa anaoneshwa doctor Hazishuki zikianguka unaziokota Gode mbili mkofu ikona kama nota Hi Na hii napiga unaeza katoroka Mapenzi kwangu ni hesabu ya minus Tuko Maji kushinda luku ya designer Znalipuka kama bomb haina timer Top shotta tuko mbele Kwa iyo lineup Check mbota clean forsa Bling shingo toja bit shorter Mbosho mali safi niliosha Top shota top shota Jay zangu ni ka za okocha Kutoka tao hadi ocha Top shota top shota Tunazikata na shoka Mikono juu shida zote bye bye Manzi mi ukinidai si mi nakam sai sai Tuliachanga magreen sai tunapiga white Leta vitu konki we staki malight Top shota kama dame ameokoka Top shota msanii ameomoka Top shota nimeekelea joker Niko kadi cheki venye sai tunazoza Wanabonga tunazidi kusonga (aah) Niko jaba kejani nikichonga (aah) Zimeshika mavela nimechoma (aah) Mmh top top top shottaaa Check mbota clean forsa Bling shingo toja bit shorter Mbosho mali safi niliosha Top shota top shota Jay zangu ni ka za okocha Kutoka tao hadi ocha Top shota top shota Tunazikata na shoka