Marathon Runner
Nyashinski
3:10Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! (Yeah, yeah yeah yeah) Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Uhuru gardens tuko jaba Wengine wako meeting Zetu ni ma German Zenu pikipiki Leo tunaenda Canaan Beba zigi mingi Ka kuna ma madam Beba CD mingi Ni mimi hapo backleft Paparazzi Wanaifanya ngumu kufanya usherati Nakumbuka kabla nifuge manati Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace Siku hizo backseat ilikuwa love seat Smooth ya manual unafikiria ni automatic Tint kwa window muhathara ndo hatutaki Hapa perfection tunaifanya bila practice Mbele naona success nafunga Hat-trick Mi ndo the "Chieth" kwa hii choo itisha Harpic Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo heartbeat Nairobi City tunairun kama athlete Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Iseti hapo nikuhandle Alafu kam tutoe lock ka key ya mlango Nikuingize ndani ya box kama ballot Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho Ambie Beenie Man nimepata queen wa dancehall After leo utarudisha weave salon After leo nawacha Arimis na ma Valon Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport Kitu ka hii ni rare ichimbe ndo uipate Mi na Nyash ni kama jet ya private Vutia wateja ni ka amewekwa magnet Ita touch wateja hadi waitane Dance tu usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Dance tu usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter Tint kwa dirisha usinimind nikipita Geuzeni vichwa injili imefika Na white tunaficha ni ka tunafilisika Hii game ndo inabisha hii si 9 Tint kwa dirisha usinimind Geuzeni vichwa injili imefika Na white tunaficha ni ka tunafilisika Dance tu usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Usijali, hatukujudge Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! Naskia... Naskia... Naskia... Naskia...