Muda
Joel Lwaga
3:47You are the way for me Follow You are the light for me to shine You are the Life for me to be alive You are my God there is no other one ooh I call you Abbah yaani Baba We uliye mwamba usiyekwama Ninapolemewa na adha za dunia Unanipa nguvu ya kuendelea Unanishindia Vita nisiyopigana Umenipa ya mshindi tena zaidi ya kushinda Adui wanaabika Hawana la kufanya Maana nimelindwa na nguvu ile iliyo kubwa Sina wa kumtumainia zaidi ya wewe Siri yangu na nguvu zangu ni wewe Iwe jua iwe mvua mi niko na wewe Mana kesho yangu iko salama na wewe Siogopi na sina mashaka Ama not afraid of situations circumstances you gonna fix them I know for sure Najua hakika maji mengi Hayanizamishi moto mkali hauniteketezi nitaibuka tu