Umejua Kunifurahisha (Feat. Chris Shalom)

Umejua Kunifurahisha (Feat. Chris Shalom)

Joel Lwaga

Длительность: 5:13
Год: 2018
Скачать MP3

Текст песни

Mmh
Mmh, mmh

Baba, umejua kunifurahisha
Baba, umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba, nitakusifu milele

Baba (baba)
Baba (umejua kunifurahisha)
Baba (baba)
Baba (umenifuta machozi)
Mmh daddy oh (daddy oh)
Daddy (umejua kunifurahisha)
Baba (baba, nitakusifu milele)

Mmh
Umerudisha tabasamu yangu, usoni
Umerejesha na furaha yangu, moyoni
Umenijibu kwa wakati, nisiyodhani yeah
Baba, umejua kunifurahisha
Niliyeitwa laana, nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai, umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujidai na kukutukuza
Baba, umejua kunifurahisha

Hey baba (baba)
Baba (umejua kunifurahisha)
Baba yangu baba (baba)
Umenifuta (umenifuta machozi)
Kweli daddy oh (daddy oh)
Daddy (umejua kunifurahisha)
Ooh, baba (baba)
Baba (nitakusifu milele)

Baba yangu baba (baba)
Yesu eh (umejua kunifurahisha)
Umenifuta machozi (baba)
Umeondoa aibu yangu (umenifuta machozi)
Daddy oh (daddy oh)
Daddy (umejua kunifurahisha)
Eeh baba (baba)
Baba (nitakusifu milele)

Mmh
Father to the fatherless
Look at what you've done for me
You've done for me
You wiped the tears from my eyes, Lord
Look what you've done for me eh
The chains and shackles that held me bound
You have cut it all away
Oh what a life, the beautiful life you've given me

Baba, umejua kunifurahisha
Baba, nitakusifu milele, ooh
Baba umejua kunifurahisha (baba)
Baba umenifuta machozi (daddy oh)
Daddy oh, umejua kunifurahisha (oh baba)
Baba nitakusifu milele
Baba, umejua kunifurahisha (you've turned my life around)

Baba, umenifuta machozi
Daddy oh (daddy oh)
Umejua kunifurahisha (baba, baba, baba)
Baba nitakusifu milele
Eey ooh, umejua kunifurahisha (baba ooh)
Baba umejua kunifurahisha (baba ooh)
(Look what you've done for me)

My mother couldn't do it, my father couldn't do it (baba ooh)
You dig me out from the other way (daddy oh, umejua kunifurahisha)
And you set my feet on the ground to stand (baba ooh)
Kweli umeondoa aibu yangu baba (baba ooh)
(No one can do the thing you do Jesus)
Umenifuta machozi yangu, Jesus (baba ooh)

Eey, daddy oh, daddy (daddy oh, umejua kunifurahisha)
Amani yako imenihifadhi baba, baba (baba ooh)
Kweli umejua kunifurahisha (baba ooh)
Ooh ooh ooh (baba oh)
Baba, daddy oh (daddy oh)
Daddy (umejua kunifurahisha)

Hallelu-hallelu-hallelujah