Umejua Kunifurahisha (Feat. Chris Shalom)
Joel Lwaga
5:13Nilijua utafanya ila sikujua ni kwa namna hii Nilijua utatenda ila sikujua ni kwa namna hii Umenishangaza maana sikujua ni kwa namna hii Nilijua utaniponya ila sikujua ni haraka hivi Baba nilijua utanifanikisha siku moja ila sikujua ni kwa namna hii Mimi Nilijua utanipa kazi ila sikujua ni ya Cheo hiki Baba nilijua umenipa huduma ila sikujua ni kubwa namna hii Hakika nilijua utanifaulisha mitihani ila sikujua kwa kiwango hiki Umenishangaza mana sikujua ni kwa namna hii Nakiri umenishangaza maana sikujua ni kwa namna hii Umenishangaza maana sikujua ni kwa namna hii