Nyanja
Jose Chameleone
4:26Muda Mrefu Jamila hatuonani Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani Karibu nikupe kiti,Unielezee nini mama Jamila alipokaa aka'anza kulia Oh nakushindwa kuongea Ata mimi mwenyewe nikaumia kumouna akilia Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Jamila aliponza kuongea Aliongea na maumivu mingi Navile aliku anaongea Nikamuonea uruma Ati walianza penzi bora Siku zingine harudi nyumbani Kumuuliza kama amepata mwengine Akamfungia virago Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Sijui nitamsaidiaje Jamila nimwambie afanyeje Nitamupa Kitanda chakula akule lakini mambo ya mapenzi mimi naogopa Zamani mimi nae tulishindana Nikapata muke akapata bwana Sasa analia Chameleon nifanyaje Jamila sijui nimwambie afanyeje Eh! Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Muda Mrefu Jamila hatuonani Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani Karibu nikupe kiti,Unielezee nini mama Jamila alipokaa aka'anza kulia Oh nakushindwa kuongea Ata mimi mwenyewe nikaumia kumouna akilia Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Jamila analia, bwana wake amemuwacha Jamila analia, bwana wake amemutupa Sijui nitamsaidiaje Jamila nimwambie afanyeje