Nitashinda
Mathias Walichupa
3:52Siachi Nitasubiri ahadi zako (ooh) Ninautambua, upendo wako Juu ya maisha yangu (ouyee) Ninazitambua, fadhili zako Za mchana na usiku (ouwo-uuu) Hata kwa hili ninalolipitia Imani yangu ni kwamba litakwisha Nitalizunguka Rohoni siku sita (6) Kama Yeriko, Ya Saba litaanguka Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia Siachi kuvumilia, nitasubiri ahadi zako kutimia Imani yangu iko kwako we (ah-ah-ah-ah) We haushindwi (ah-ah-ah) Nakuamini (nitangoja utende) Auchelewi, wala auwahi (ah-ah-ah-ah) Ooh BWANA (ah-ah-ah-ah) Mimi nitangoja (nitangoja utende) Ooh-ooe Chezaa Kompaaaa Eeh, kila jambo na wakati wake Najua na mimi wakati wangu upo YESU wangu hawezi niacha Atasimama na mimi (ouwo-uuu) Japo nimesikia (nimesikia) Maneno nayonenewa (maneno nayonenewa) Yakunizuia kunikatisha tamaa, nianguke Mimi nitalishika, lile uliloniambia Maana neno lako ni Hakika, utafanya aah Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia Siachi kuvumilia (nitasubiri) Nitasubiri ahadi zako kutimia Mimi Nakuamini (ah-ah-ah-ah) Nakuamini (ah-ah-ah) Hakuna gumu Kwako (nitangoja utende) Subira yangu, Nitaiweka kwako(ah-ah-ah-ah) Ooyeaa (ah-ah-ah) Nitasubiri majira yako (nitangoja utende) Chezaa Kompaaaa