Atafanya
Mathias Walichupa
3:50Huu ndio utambulisho wangu Kwamba mi ni mzawa wa Kifalme Alinijua, tangu mawazoni mwake, eeh Alisha nichagua niwe wa upande wake, eeh Ugumu wa changamoto, zinazo nikabili Hautoshi kubadili mawazo, MUNGU anayoniwazia Nina imani upo wakati, ambao mema Niliyopanga yatatimia, maana Sijaandikiwa Kushindwa, aah Nimeandikiwa Kushinda, aah MUNGU yuko upande wangu, uuh Nitashinda zaidi ya Kushinda Nina imani Nitashinda (aah) Mi Nitashinda (aah) Mimi Nitashinda (aah) Najua uko upande wangu, naamini (aah) Mi Nitashinda (aah) Mimi Nitashinda (aah) YESU uko upande wangu, naamini Naamini, Naamini, Iye-iyee Kwako nitangoja (Neno lako) Kwako nitangoja (Sauti yako) Kwako nitangoja, Kibali chako BWANA, unipatie Nitangoja (Amani yangu) Nitangoja (Uponyaji wangu) Uweponi mwako, YESU nitakaa Maana ukiwa upande wangu (hakuna) Ni nani aliye juu yangu (hakuna) Hakuna (hakuna) Iye-iyee-ee Tena ukisema ndio (hakuna) Nani apinge-ee (hakuna) Hakuna (hakuna) Nitashinda kwa maana Sijaandikiwa Kushindwa, aah (tangu mwanzo) Nimeandikiwa Kushinda, aah (ni ahadi ya Baba yangu) MUNGU yuko upande wangu, uuh (sitachoka kuamini) Nitashinda, zaidi ya Kushinda (ajapo kawia nitangonja) Aaah (aaah) Mi Nitashinda (aah) Mimi Nitashinda (aah) Najua uko upande wangu (wouwo) Naamini (aah) Mi Nitashinda (aah) Mimi Nitashinda (aah) YESU uko upande wangu, naamini Naamini, naamini, iye-iye-ee Maana ukiwa upande wangu (hakuna) Ni nani aliye juu yangu (hakuna) Hakuna (hakuna)