Ina Maana (Feat. Madee)
Mb Dogg
5:06Maneno mengi wanasema juu yako Eti kuna kitu hani umenifanyia Mganga so sababu mimi kuja kwako Ila mi mwenyewe moyoni nimekuchagua Nakutafuta nione sura yakooo Nakutamani niwe karibu yakooo Kama ni gari ndo mapenzi yawe tight MB Dog man nishalinunua Kama salamu honey we ukinimiss Nibeep baby mi nitakupigia Nakutafuta nione sura yako Nakutamani niwe karibu yako Haiya yeah yeah beibe Yeah yeah yeah ooh beibe Sema basi unachotaka mummy Sema basi unachotaka honey Honey achana na mwawazo ya kishetani Ukiniacha mi nitabaki na nani Latifah we ndo tuu mummy Lati we ndo tuu honey Latifah we ndo tuu mummy Latifah hayaah (Yeah yeah yeah yeah yeah beibe Hayai yeah ooh ooh) (Yeah yeah yeah yeah yeah beibe Hayai yeah ooh ooh) Vipo vya kushare Lati so mapenzi We ni wangu imepangwa toka enzi Sema basi kitu gani unachotaka (unachotaka) We usijali mi sina matata (matata) Nachotaka we milele uwe wangu Uje nikuite mama wa watoto wangu Ukiniacha ta umiza moyo wangu Kwani nashaachana na habari za machangu Ndio inshallah wacha waone donge Kama mikwanja tutachota kwa Abdul bonge Kilichobaki sa God tumuombe Tuwapo wawili nyoyo zetu tuzikonge Nachotaka we milele uwe wangu Uje nikuite mama wa watoto wangu Ukiniacha 'ta umiza moyo wangu Kwani nashaachana na habari za machangu Penzi la dhati lati mi nitaona haiya yeah Penzi la uzushi lati mi nitajua haiya yeah Kumbuka Dogman doggy nakupenda Ukiniacha Dogman doggy nitakonda Njoo uni kiss lady njoo unipe denda Madee anajua Kama penzi langu kwako moyo ni kidonda haiya yeah Kama penzi lako nguvu za kiganga haiya yeah Kumbuka Dogman doggy nakupenda Ukiniacha Dogman doggy nitakonda Njoo uni kiss lady njoo unipe denda Doggy naumia (Yeah yeah yeah yeah beibe Aiya yeah yeah ooh ooh) Sema basi unachotaka mummy Sema basi unachotaka honey Honey achana na mwawazo ya kishetani Ukiniacha mi nitabaki na nani Latifah we ndo tu mummy Lati we ndo tuu honey Latifah we ndo tuu mummy Latifah hayaah