Huyu Yesu

Huyu Yesu

Mercy Masika

Альбом: Mwema
Длительность: 3:49
Год: 2018
Скачать MP3

Текст песни

Hallelujah, Onho

Huyu Yesu si sanamu, si mwanadamu adanganye
Ahadi zake zote kweli na Amina nimemuona

Na akisema ndio, hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo

Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie...
Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie

Unatangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako mwambie
Unaumizwa na nini, je unahofu gani maishani mwako
Mwambie

Na akisema Ndio, Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo

Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie...
Onho mwambie enhe