Utazoea (Symphony In F-Sharp Minor)

Utazoea (Symphony In F-Sharp Minor)

Nyashinski

Альбом: Good Old Days
Длительность: 4:46
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Maybe I'm too good to you
You take me so for granted
Open your eyes and see
You'll never find a better lover

Original black man kama ule wa Genesis
Na kama tu Genesis manyoka ndo bado ma-nemesis
So niko strapped ka friends wana benefits
Mm, na hewa ndo remedy, mm
Msoto ndo enemy, mi ndo kusema
Ni rap ama melody, bars unapewa ni ka uko na felony

I'm running this shit by, literally jogging my memory
Mi staki uniweke category
Ka ni must acha ikuwe ebony
Ka sina uwezo mi basi ni nani atieleta vile naileta
Hizi level ni heavenly
Hiyo negative energy, kaa nayo mbali ujionee

Capital city inameza washamba (huyo)
Wanapotea, mi nikishashika mikwanja (huyo)
Nawachorea, I'm big enough kuhitaji bouncer (huyo)
Anaromeo, na zikishashika ni blunder
But utazoea

Vako za ki-boss (utazoea)
Na kunikosa (utazoea)
Nasonga ki-source (utazoea)
Na juu ya chopper (utazoea)
Utaona ma-boss (utazoea)
Na utachoka (utazoea)
Yah, kuna ma-loss
Na utatokwa

Huku ma-gangster hutembea na escorts
Prado tatu zimeashwa mataa, saa hizo mi nashikwa juu ya madreadlocks
Na ufisadi ndio inahitaji effort
Uh, kuna tension, na Corona imemaliza pension
Tukipull up, ujue ni mateso, Babylon itakulwa na ghetto

Mi niko job
Naieleta tu roho vile inafaa kutoka
Unamaliza chuo ukingoja kusota
Ni wapi unajua degrees zinagurantee kupata job
Ni maybe ka unajuana
So kwa matembe na marijuana utapata vijana
Na hivo ndo kuko jo

Nairobi City inameza mapastor (huyo)
Wanapotea, mi nikishashika mikwanja (huyo)
Nawachorea, I'm big enough kuhitaji bouncer (huyo)
Anaromeo, na zikishashika ni blunder

But utazoea
Vako za ki-source (utazoea)
Na kunikosa (utazoea)
Nasonga ki-source (utazoea)
Na juu ya chopper (utazoea)
Vako za ki-boss (utazoea)
Na kunikosa (utazoea)
Nasonga ki-source (utazoea)
Na juu ya chopper

Nakuanga grown
Sikuskii ukiongea, niko zone
Hapo sling inashine kama chrome
Na kwa scene naingia ki-don
Ki-don, siko late
Show inaanza nikifika kwa gate
Napull up na gari 28
Orezo pekee ndo anarelate

Tu story si-exaggerate
Unashindwa kukataa
Unashindwa kukataa
Beat inabanja, streets natambua
Price inapanda, nakuanga grown
Number one ndo mahali na-belong

Niko hapo juu nimeasha vela ina-pong
Kabla u-puff ushajua tu ni strong
Na ni strong, saka form
Bank account iwache ku-underperform
At the top kunakuanga ku-lonely
Uko alone unaombwa tu loan
Baada ya loan (baada ya loan)

I'll do anything for you love, anything for my woman
Anything for your love, anything
I'll do anything for you love, anything for my woman
Anything for your love, anything
I'll do anything for you love, anything for my woman
Anything for your love, anything

I'll do anything for you love, anything for my woman
Anything for your love, anything for my woman
Anything for your love, anything for my woman
Anything for your love, anything