Umenipima
Obby Alpha
4:36Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu. Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu. Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu) pigana na Mungu (Pigana na Mungu) Hata kama vita ntapigana ila ushindi atanishindia aah Yote si mapenzi yangu ,Bali ni mapenzi yake Mungu Ukitamka laana yeye baraka kanitamkia Yote si mapenzi yangu ,Bali ni mapenzi yake Mungu Maana uhai wangu mie,Nimemkabidhi yege Ukitaka kunigusa mie,Unataka kumgusa yehe Ukinigusa kwa wema atakubariki atakubariki Ila ukitaka kwa mabaya usishiriki maana sio rahisi Maana vita yangu eeh,Si ya mwili bali ni ya rohoni Tena sipigani mimi eeh,Anaenipigania Mwokozi Hivyoo. Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu. Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu. Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu) pigana na Mungu (Pigana na Mungu) Ukipigana na Mini nikuachie Mungu basi jua yako imeenda. Ukipigana na Mini nikuachie Mungu basi jua yako imeenda. Ameniita ni Mungu mwenyewe,Mbona nipigane vita Ameniita ni Mungu mwenyewe,Mbona nipigane vita Maana vita vyangu,Si vya mwili bali ni vya rohoni And i dont fight for myself ,Anayenipigania mwokozi Hivyo basi anayepigana sipigani nae,Namuachia Mungu apambane naye. Anayeshindana sishindani naye,Namuachia Mungu apambane naye . Anayeniwinda sipigani naye,Namuachia Mungu apambane naye. Namuachia Mungu apambane naye. Maana vita yangu eeh,Si ya mwili bali ni ya rohoni Tena sipigani mimi eeh,Anaenipigania Mwokozi Hivyoo. Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu. Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu. Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) shindana na Mungu (Shindana na Mungu ) Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu) pigana na Mungu (Pigana na Mungu)