Rhumba Japani (Feat. Bensoul, Xenia, Nviiri The Storyteller & Okello Max)
Sauti Sol
3:52Ah nakufa (sudah) Maa sherry Sherry kimula mimi nakufa Ani nyajomoko mami itoyo funde na Ahero sana pile irundoga wiya Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha To donge adengo ti kayudo konyrwok na An weya uru mondo asunge ja batha Opong' to mwol atoti unanimalisa Ni isi na wewe milele mpaka kufa Unisalie watoto mamaa (unasilie watoto) Nakuahidi hutokosaa Ayie idho gode mondo aketie kon e mesa Asekoyie in koro ateri moso anywola mamanaa (Yee mziki santimaa, mziki bila jasho) Sherriieeee Mamaaaaa Babyyyy Nakufa, nakufa, nakufa Nakufa nakufa nakufa Sherriieeee Mamaaaaa Babyyyy (ololo) Nakufa, nakufa, nakufa (Aah mama) Nakufa nakufa nakufa Mama sherry, usiniache mi ntakufa Kila unapo nipigia simu lazima nitakuja Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa Tupendane mpaka kufa Ooh sherry mapenzi ya leo naogopa Kwanza warembo wa ngolopa aaaiih Wameweka mitego kwenye mabaa ooh lord Ila ukinitega sitakataa Nitakopae Nitalimae mama Nitachanga Nitaiba oooh Tupendane mpaka kufa Sherriieeee Mamaaaaa Babyyyy Nakufa, nakufa, nakufa (aah mama) Nakufa nakufa nakufa (ooh sherry) Sherriieeee Mamaaaaa Babyyy Nakufa, nakufa, nakufa Nakufa nakufa nakufa Baby babe, nishaachana na maform zaashura babe Hata nafula namba yake nimefuta aaah Nakuassure aah eeh Usiku silali naona sura yako mrembo Daily natamani kwako ningekua visible Nateswa na rada kila nikikuona na huyu jamaa (huyu jamaa) Kweli mamaa unanifaa waniua (murder, murder) How do I live without you baby Nenya uve manje Nipeleke eregi kwa mamaa Nimwelezee na babaa Girl I need you in my life Naona wivu When I see you holding hands Kama mwezi usiku Baby you know you're the one Sherriieeee (baby you the one) Mamaaaaa (Without you I can die) Babyyy (baby eeeh) Nakufa, nakufa, nakufa (Baby eeeh) Nakufa nakufa nakufa (heiyee) Sherriieeee (baby nakuhitaji eeh) Mamaaaaa (without you siwezi) Babyyy Nakufa, nakufa, nakufa (Babi yeiye) Nakufa nakufa nakufa (nakufa, nakufa)