No Other (Feat. V-Be)

No Other (Feat. V-Be)

Okello Max

Альбом: Healing
Длительность: 4:14
Год: 2025
Скачать MP3

Текст песни

No Other X Vijana Barubaru

Nina mipango 
Najisema kwa ngoma, alah na bango
Navunja dirisha na zote milango
Nikufikie nipunguze mawazo

You are my queen
Unataka nini
Itisha sahi 
I got what you need 
Better believe
Ane kingi

Nyaduse kinyono jirangi gadier
Ine oberana chunya oyie
Okanawei ni pii wang’i chwer 
Anaheri nyaka giko chieng’

Hook
Nikichoka
Mpenzi ni we hunipoza
Huna doa sioni kosa 
Mwanzo ni wewe 
Mwisho ni wewe
There’s no other

Tuku’s Verse

‎Nilinivunjwa moyo, nikisaka peace of mind
‎Nikalipwa uchoyo, wakinitumia sikumind
‎Kimiujiza you came my way, sijui niiaje nilifika bei
‎Kila siku you choose to stay, I'm reminded that waiting was worth it
‎Sijui kupima maneno weight, but I mean every word I say
‎Kesho yangu ni wewe, my guardian angel, for you, there's no price I will not pay

Hook
Nikichoka
Mpenzi ni we hunipoza
Huna doa sioni kosa 
Mwanzo ni wewe 
Mwisho ni wewe
There’s no other
‎
Mwana’s Verse

Apewe wigs na flowers 
Massage  after shower 
Talks for hours 
 Miti ni dawa 
Assurance nakupa
Kukuempower.
Wengine natupa 
Mkono na nawa 
Jealousy lover 
No under cover 
She got my back 
Like no other 
Hand in hand 
Akitoka namfwata 
Daila na feast 
Na si last supper 
A shoulder to lean on 
Ama ata mwili ya kukukeep warm
Mimi ni solder on a mission 
Na cock na fire na fight hadi mwisho 
Mapenzi tele haya pimwi na kilo 
Ammunition nmeficha kwa silo 
Vibes unatupa ni irie and mellow 
Mirista naandika unaimbiwa na okello

Hook
Nikichoka
Mpenzi ni we hunipoza
Huna doa sioni kosa 
Mwanzo ni wewe 
Mwisho ni wewe
There’s no other
‎