Genesis

Genesis

Okello Max

Альбом: Genesis
Длительность: 5:19
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Genesis

Intro
Kar chakruok en mor lilo 
Korumo en ywago remo
(Yeah…
Wakati ilianza na kina Pedeshe Adam
Ilikuwa beautiful 
Sasa hivi, hehehehehe… ai
Mutoto ya Pamela)

Wooooh…
Aaaaah Ngai eee
Woooooh
Bolingo ya nzele 
Woooooh

Verse
Hera, hera ma sani tinawach ni ohingo ya
Kila ng’ato donjie mana manyo moke
Inyapangi, miparni weche voodoo
Kara gipandi, wenge ochomo ofuku 
Yeeeeaaaah, chuny dhano mudho mandiwa 
Ooooh, ok ding’e moheri adiera
Yeeeeaaaah, chuny dhano mudho mandiwa 
Ooooh, ok ding’e moheri adiera
(Aaah Mapenzi huwaga tamu ikiansa, yeah)

Hera Kachako oooh honeymoon,
Love opoto gini ipako nyaka e polo
Simbe igoyo, mafwa ioro mapensi ya godoro 
Opong’o kart, shopping echo idhi I nyaka Morocco 

Pre hook
To mit samorumo…..
Mambo inachemuka, piny gi polo 
Aliyekuogesa sasa adui yako 
Eti kuaibisana inakuwa mitindo 
Tena bila aibu pale kwa mitandao mama…
(Weeeuh inakuwa story balaa, ai)

Chorus
Mkishazoeana utamu haukolei
Simu za kila siku siku hizi hamuongei
Wakucuddle pia kitanda haitoshei 
Hebu songa kule mwenzangu hasongei 
Genesis sielewi mahaba huenda wapi
Nashindwa mbona isiwe kama zamani 
Tupendane kama mwanzo na isiishe 
Pendane kama mwanzo na isiishe…
(Ooooh ooooh…)

Verse
Koso dibedie ni wan emawarwenyo yoo
Koso dibedie matindo manwatimo go
Asepenjora okayud dwoko 
Gini chando yaa
Si Khadijah si Fatuma kila mtu analia 
Carolina Amelina nao pia wamerambwa
Hii kitu haina commando, wala manual na
Huku hupewi masomo, oo
Ng’ama ti newahigo 
Hera maradiera nyaka giko 
Vile tutakavyo anza, tumalizie 
Tena tusishuke namba, tuzidishie 
(Yeah, Unaongeza asilimia mia mbili kuendelea, ipande juu)

Pre hook
To mit samorumo…..
Mambo inachemuka, piny gi polo 
Aliyekuogesa sasa adui yako 
Eti kuaibisana inakuwa mitindo 
Tena bila aibu pale kwa mitandao…. mama
Oooooh mama….
Ooooooohh…..

Chorus
Mkishazoeana utamu haukolei
Simu za kila siku siku hizi hamuongei
Wakucuddle pia kitanda haitoshei 
Hebu songa kule mwenzangu hasongei 
Genesis sielewi mahaba huenda wapi
Nashindwa mbona isiwe kama zamani Tupendane kama mwanzo na isiishe 
(Mbona tusipendane kama zamani)
Pendane kama mwanzo na isiishe 
(Mbona tusipendane kama zamani)
(Mbona tusipendane kama zamani)
(Mbona tusipendane kama za za zamani yeeeeaah)
Genesis
Lelele
Lelele
Leleleleleeee…..

Outro
Mambo ya mapensi inatesa sana roho
Mambo ya mapensi inachangana mandume 
Mambo ya mapensi inafanya ninja nalia 
Mambo ya mapensi yooooh oooooh…
Alalalalaaaalalalaaaa
Wuo jomoko asandora 
Asandoraaaa love yawa
Ei lit gadier