You Guy (Dat Dendai) (Feat. Kollo)
P-Unit
4:25Heehe! The illest mzee Aah! P-unit! Musyoka Kama-k. Yeah Kisha na cheka utadhani na vuta bangi Bana nko maji utathani me ni tangi Macho nyekundu imegeuza karangi Unanijua ujinga me sitakangi, Unanijua tracki me huwa naua Me ni kammea utadhani me mau So kikundi serekali basi nani ana swali Yani ngoma ingine kali yani tamu kama asali So me huweka watoto me naweka Niko tribeka niko niko gage tu nawaka Nataka kuteka kisha niingie keja tu kuweka weka weka weka tena sana Najifanya nimedoze kumbe naongezaga dose Asubuhi ikifika narudi tu pale pale Weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Buganya mi ni beshte ya kalonje Nina mapesa nimeweka kwenye wolenje Kuna msupa amepoteza ma kibenje Nina kitu kwenye boxer kakonje Kuna kale kabaruta pia kakoinje Unakawekaga sana hivyo ndio huwaga na fanya Mi huwaga na wakusanya waniitaga buganya Nabadilika ka chameleoni tubonge nasema tubonge Acha nigonge Wanasema ninaboo wanasema sina doo Cheki after every show nawakopeshaga doh Na mafans wanasema bugah umeuwa show Hawa mafala hakuna kitu wanaweza kanishow Niko fiti joh niko fiti kidoh Wanacheza ligi ndogo mi na cheza ligi soh Mi na penda zile vitu bigi tena bigi-soh SO! Weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Ni yule kijana mbaya Zaidi mistari gaidi Nararua hizi trucks mbaya Zaidi Ukipenda ukipenda majina Zaidi African Doctor, yule headmaster Mi weka Zaidi nina weka weka yani ile wega wega Nikisonga mbele bado wana bweka bweka Bon-I weka akibend weka Akijyeka kama kawa nina fyeka fyeka Nina piga piga hadi inatetemeka Ikitetemeka basi me na tetemesha Tuna weka weka eeeihh! Hakuna pressure Me naweka weka yani naongeza mbesha Ni itagededure mtoto shebure Ukitakaga kucheza mi na cheza sefure Steady ready gently everyday Weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana Tuna weka weka weka weka weka weka Weka weka weka weka tena sana