Mpenzi New Year

Mpenzi New Year

V-Be

Альбом: Mpenzi New Year
Длительность: 3:10
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Oh, yeah,
Ni Vijana Barubaru na wewe, yadada

I've got scars to show for how I didn't love myself,
Many hungry nights I spent alone cursing myself,
Always balancing tears, afraid of all my fears,
At some point it got so dark, it's a miracle I'm here, this year

This year Kuna a few things I am manifesting,
Nadai kuhama mahali gloomy niishi mahali festive,
Mungu sikia, kuna meza nadai kufikia,
Na ni wewe ndio utaiandaa, maombi ndio menu utanipikia,

Mpenzi new year,
Ningependa uwe mine,
Tarehe kwa calendar unipee,
Niko ready kupatana na success,

Mpenzi new year,
Ningependa uwe mine,
Tarehe kwa calendar unipee,
Niko ready kupatana na success,

Yeah, Mpenzi New Year
I vow to be kind to myself hiyo ni promise I'll bind ,
Putting me first, self care decree,
Na nurture my mind, setting it free,
Na find my space, na move na grace,
Old habits, old ways, garra let them go,
Na break free, ka river ina flow, 
2024 ni open doors,
Operating from light na upendo,  
Keti chini lets talk  for  a minute,
Ile power niko nayo hutaamini, 
Circumstances na timing imenilimit,
Last year was mine but she didn't mean it,
Hizi candles kwa dinner ndio timer,
By the time zina dim tujue kama,
Mjengo ocha ntakuwa nmemaliza,
Ama ni ufal,


Mpenzi new year,
Ningependa uwe mine,
Tarehe kwa calendar unipee,
Niko ready kupatana na success,

Mpenzi new year,
Ningependa uwe mine,
Tarehe kwa calendar unipee,
Niko ready kupatana na success,

Mpenzi new year 
Mpenzi, mpenzi
Mpenzi new year 
Niko ready, mpenzi
Mpenzi new year 
Niko ready, niko ready
Kupatana na success