Masogange
Belle 9
4:52We unanifaa We unanifaa We ni wangu unanifaa Sipagawi, sichachawi na machangu wa Dar, au sio maa? Hivyo ndivyo mamaa Njoo unipe love kwenye shida na raha Raha, raha, raha We ni wangu unanifaa Sipagawi, sichachawi na machangu wa Dar, au sio maa? Hivyo ndivyo mama Njoo unipe love kwenye shida na raha Raha, raha, raha We ni wangu, we ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu, we ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Wewe, kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Oh yeah Huna ujiko, na mi sina mshiko Kwenye love tume-settle ile bomba Tukipata twashukuru, tukikosa twalala Ili mradi siku zinakwenda Huna ujiko, na mi sina mshiko Kwenye love tume-settle ile bomba Tukipata twashukuru, tukikosa twalala Ile kisela siku zinakwenda Kama ni pamba uta-shine Kwa mnyamwezi Belle 9 Usijali mimi ni wako Nipo tayari hata twende kanisani Ama kwa wazazi si tukale kiapo Kama ni pamba uta-shine Kwa mnyamwezi Belle 9 Usijali mimi ni wako Nipo tayari hata twende kanisani Ama kwa wazazi si tukale kiapo, my baby We ni wangu, wee ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu, wee ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Wewe, kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Oh yeah Mimi na wewe, mpaka milele Mimi na wewe, mpaka milele Mpenzi njoo (njoo) Mpenzi njoo (njoo) Mpenzi njoo (njoo) Mpenzi njoo (njoo) Njoo taratibu, njoo kipenzi tabibu Kwanini unaniadhibu, njoo unipe majibu Taratibu tena bila wasiwasi Si mapenzi mbele pesa, wapi na wapi? Nivumilie nimesema sikwaachi Nishasema nakupenda hata kushinda mitikasi Wapi, unapopataka let’s go Kipi, ulichokipenda let’s roll Ulikuwa na bado utazidi kuwa mine Nakuimbia, emu sikia hii na Belle 9 Subiria, honey kwanza tukamate line Ukiniacha njiani, mi na wewe ni kwenda ku-shine Nipe nafasi nikupe kiss, nikupe hug na love Iko wazi tuki-hustle hatutolala na njaa Mbele yako mpenzi wangu mi naapa kwa Jah Machozi nayolia sasa kesho yageuke furaha Unachotaka mimi nakupa Hivyo mrembo nielewe Penzi langu usijelitupa Tuwe sote milele Unachotaka mimi nakupa Hivyo mrembo nielewe Penzi langu usijelitupa Tuwe sote milele Mi na we Mimi na wewe, mpaka milele Mimi na wewe (mi na wewe), mpaka milele (milele) We ni wangu, wee ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu, wee ee-eh eeh Mi ni wako, oh oo-oh ooh We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke We ni wangu sina time na vicheche Mi ni wako kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Wewe, kwa matozi usishoboke Baby, sina time na vicheche Oh yeah