Teamo

Teamo

Godfrey Steven

Альбом: Teamo
Длительность: 3:26
Год: 2022
Скачать MP3

Текст песни

Fikra za Shetani huzania kwamba mimi ni wake
Hajajua namilikiwa na muumba
Hujaribu weka mitimiti na misumali na miiba ichomayo
Asante mungu upande wangu daima
Tena bwana ana jina langu Mikononi mwake
Alafu hujinadii nalo Malaika huko mbiguni
Kwa madaha Ajigamba enzini
Just come mwoneni
Huyu ndo mwanangu na imani naye
Kanambia
Teamo mwanaaaa
Nakupenda mwanaguuu
Aaaaaah
Nakupenda mwanaguu
Ooooh nakupenda mwananguu
Ni kwel jana nimekosa
Amenisamehe
Sina haja jiraumu kwa makosa ya jana
Amenisamehe
Ni kwel jana nimekosa
Amenisamehe
Sina haja jiraumu kwa makosa ya jana
Amenisamehe
Tena bwana ana jina langu Mikononi mwake
Alafu hujinadii nalo Malaika huko mbiguni
Kwa madaha Ajigamba enzini
Just come mwoneni
Huyu ndo mwanangu na imani naye
Kanambia
Teamo mwanaaaa
Nakupenda mwanaguuu