Mashallah (Feat. Mzee Yusuf)
Chidi Beenz
4:59Waiter leta mitungi , Mbaka asubuhi nakunywa siyumbi Waiter leta mitungi , Mbaka asubuhi nakunywa siyumbi Nipe mimi pia na marco chali, Usijari nje nimecome na gari Vumbi linatimKa basi njoo uone Kwasa kwasa mbaKa zile indemonie Mambo yako poa kila kitu mukide mukide, Ka dully juu chini mwendo shikide shikide Beef cha yupo na wolper Kwenye viwanja zilla huwezi nikosaa Nasema aaaah ayaaayaa Aaaah ayaaayaa Natakaaa,kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye baata, Cheza na manzi yangu lakini usivukee mipakaa, Ukijifanya mtoto wa mbwa si wenyewe mbona watoto wa paka. Ahaah aah aaah aaah Dondoshaa champgne again Counter nimeclear,niko safi sina deni Dondoshaa champgne again Counter nimeclear,niko safi sina deni Watoto wamepandishaa moriii Hizi ndo zetu tukikuuzi we sorry Hapa ni tungi badala ya tungi Usiku mzima busy tunasaga mirungi Mkono wa kushoto big g na soda. Nahitaji john walker nimeshaweka order, Angushaa hiloo bapa here we go Tungi haliishi zimejaa kwenye store Nasema aaaah ayaaayaa Aaaah ayaaayaa Natakaaa,kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye baata, Cheza na manzi yangu lakini usivukee mipakaa, Ukijifanya mtoto wa mbwa si wenyewe mbona watoto wa paka. Ahaah aah aaah aaah Nipo nipo kwenye party We ukibaki hapa mi nasonga palee Nipo nipo kwenye party We ukibaki hapa mi nasonga palee Waiter leta ,letaa mondee letaaa Waiter leta letaa mondee basi letaa Natakaaa,kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye baata, Cheza na manzi yangu lakini usivukee mipakaa, Ukijifanya mtoto wa mbwa si wenyewe mbona watoto wa paka. Ahaah aah aaah aaah Waiter leta ,letaa mondee letaaa Waiter leta letaa mondee basi letaa Waiter leta letaa mondee basi letaa Waiter leta letaa mondee basi letaa