Nimependa (Remix) (Feat. Deus Derrick & Sammy G)
Guardian Angel
4:15Kwako unipae uzima, Nakupa moyo wangu mzima, Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda Kwako unipae uzima, Nakupa moyo wangu mzima, Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda Kwako unipae uzima, Nakupa moyo wangu mzima, Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda Majanga tumeshinda, Magonjwa tumeshinda, Mitego ya ma adui, Yote tumeshinda, Mawimbi na dhoruba eh bwana tumeshinda, Na tuliogopa yangetushinda Milima na mabonde, eh bwana tumepita, Yalo tutetemesha bwana umetuliza, Yalo tuogopesha umeondoa mashaka, Na tuliogopa yangetushinda Kwako unipae uzima, Nakupa moyo wangu mzima, Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda Kwako unipae uzima, Nakupa moyo wangu mzima, Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda Sasa nakupa shukrani zangu nakupa, Baba pokea sadaka yangu ya sifa, Bwana nakupa moyo wangu nakupa, Nakupa moyo wangu mzima Sasa nakupa shukrani zangu nakupa, Baba pokea sadaka zangu za sifa eh, Bwana pokea moyo wangu nakupa, Nakupa moyo wangu mzima (Eh kwako eh bwana), Kwako unipae uzima, (kwako eh bwana) nakupa moyo wangu Mzima, umeniwezesha kushinda, (hei) Niliyogopa yangenishinda (Eh kwako eh bwana), Kwako unipae uzima, (nakupa) Nakupa moyo wangu mzima, (mmh ye heh) Umeniwezesha kushinda, Niliyogopa yangenishinda